PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Breaking News

FULL VIDEO: Tajiri Mtata alivyotamba mnadani na kununua nyumba za Bilioni 2 wakati hana kitu mfukoni

on

Gumzo la Dar es salaam leo ni “Tajiri Mtata” Dr. Luis Shika ambae alivalia sendoz chini kisha shati, tai na suruali na kujitokeza kifua mbele kununua nyumba za LUGUMI za zaidi ya BILIONI 2 zilizokua zinapigwa mnada na YONO.

Muda mfupi baada ya kushinda kwenye mnada huo kwa kupata nyumba tatu ‘TAJIRI” huyo alikamatwa na Polisi kwa kuvuruga mnada kwa kutotimiza sharti la kuwa na 25 % ya malipo ya nyumba, hizi video hapa chini zitakupa kila kitu kuanzia mwanzo mwisho

VIDEO: Tajiri Mtata baada ya kukamatwa na Polisi DSM muda mfupi baada ya kununua nyumba za karibu BILIONI 3 bonyeza play hapa chini kutazama

UNAZITAKA BREAKING NEWS FASTAFASTA? Jiunge na Reporter wako Millard Ayo kwa kubonyeza kifuatacho SUBSCRIBE >>> YOUTUBE , APP YA MILLARD AYO, FACEBOOK , INSTAGRAM

Soma na hizi

Tupia Comments