Tangaza Hapa Ad

Mix

Kifahamu kingine kizuri kutoka Tecno Mobile

on

Kampuni ya simu ya Tecno kwa kushirikiana na Jumia wameendelea kuboresha huduma zao ili kuhakikisha unapata huduma  bora zaidi na unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu. Uboreshwaji huu wa huduma unalenga katika ubora na urahisishaji wa kutumia huduma na bidhaa za kampuni hizi 

Wateja watafaidika kwa njia mbalimbali kupitia ushiriano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa na wateja watakao nunuasimu mpya za PHANTOM 6 na PHANTOM 6 Plus na watapata kuponi zitakazowawezesha kuagiza chakula  popote ambapo kampuni ya Jumia inafanya kazi.

foodt

Utaratibu huu umeanza rasmi November 1 2016 ambapo pia wateja wa Jumia watakapoagiza chakula kupitia programu (Application) inayopatikana katika mfumo wa android watapata nafasi ya kushinda simu ya PHANTOM 6 na zawadi zingine kemkem zitakazotolewa na kampuni ya JUMIA kwa hisani ya TECNO MOBILE LIMITED

Katika mwezi Novemba na Desemba kuna nafasi kubwa kwa wateja wa kampuni hizi mbili kufurahia ofa kabambe, nunua simu za TECNO PHANTOM 6 katika maduka yote yaliyopo nchini kote upate kujishindia zawadi kutoka JUMIA na TECNO MOBILE LIMITED.

VIDEO: Tecno Phantom 6 ilivyoanza kuuzwa na wateja wakataja kilichowavutia 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement