Tangaza Hapa Ad

Mix

Kaa tayari kwa dili lingine kubwa kutoka TECNO

on

Kampuni ya Tecno kila siku imekuwa ikiumiza kichwa kuhakikisha una sababu kibao za kuendelea kufurahia bidhaa na huduma zao. Baada ya kukuletea simu kali mbili zilizotoka kwa mpigo, Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zina speed kali, kuchaji kwa haraka na moja ikiwa na kamera mbili, sasa wamekuja na kitu kingine.

Tecno wanakuletea kingine kipya cha aina yake, na  tetesi zilizopo ni kwamba hili ni dili litakalowawezesha wateja wake kukwea pipa kwenda majuu.

tk88

Unachotakiwa kufanya ni kukaa karibu na mitandao ya kijamii ya Tecno Mobile Tanzania kufahamu jambo hili kubwa ambalo linakujia ndani ya siku chache zijazo.

Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania/?fref=ts

Instagram: https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/

Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

VIDEO: Alice Tupa amekuchambulia Magazeti yote ya leo NOV 18 2016 kutoka AYO TV, Unaweza kutazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement