Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

“Lazima tufanye mambo sheria inavyotaka, nimesikitishwa…” -Dr Tulia (+Video)

on

Naibu Spika Dr Tulia alikuwa kwenye mkoa wa Kilimanjaro kwenye mashindano ya riadha yaliyopewa jina la “Kilimanjaro International Airport Marathon” ambapo washindi mbalimbali walijinyakulia zawadi ikiwemo pesa taslimu.

Katika hotuba yake Dr Tulia alionesha kutofurahishwa na baadhi ya matukio yaliyojitokeza katika mashindano hayo na kusema… “Moja ya changamoto iliyotolewa hapa ni kuhusu udanganyifu, nilipouliza kwanini zawadi hazitolewi hapa nikaambiwa kuna mambo ya kuangalia hapa na pale”

Ni lazima tufanye mambo sheria inavyotutaka, tusifike mahali tukawa ni wadanganyifu kwahiyo tufuate utaratibu uliowekwa”- Dr. Tulia

“Mimi sitoi maelekezo, natoa muda mfanye wenyewe” –Dr Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement