Tangaza Hapa Ad

Ya jioni hii…. nguzo za umeme zilivyoanguka Mwembeyanga Dar es salaam, picha na maelezo


y6Unaambiwa nguzo za umeme zimedondoka maeneo ya Mwembeyanga barabara ya Tandika-Posta ambapo kondakta wa daladala iliyohusika kwenye tukio amesema walikua wakisikia vitu kama cheche vinatoka kwenye nguzo hizo.

y1Baada ya kusikia wakashuhudia nguzo ya kwanza ikidondoka ikifatiwa na ya pili mpaka ya tatu na katika hali ya kujihami, dereva wa gari hiyo aliamua kuingiza gari kwenye mtaro kuukwepa umeme huo uliokuwa bado upo kwenye nyaya hizo zilizolala chini.

y2

y10Kwa sasa Tanesco na maaskari wamefika eneo la tukio.

y4

y5

y9

y11

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement