Tangaza Hapa Ad

Lifuatalo ni agizo la Waziri wa TAMISEMI kwa Wamachinga wa Mwendokasi


Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ameuagiza uongozi wa mkoa Dar es salaam kuhakikisha Wamachinga ambao wanafanya biashara pembeni mwa mradi wa Mabasi ya Mwendokasi waondoke sababu wanasabisha usumbufu kwa magari yenyewe na wataembea kwa miguu, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement