Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Picha 8 kutoka kwenye Harusi ya Tunda Man na Sabrah Dar es salaam

on

Tunda Man ni miongoni mwa Waimbaji wa siku nyingi kutokea TipTop connection, nakumbuka mwaka huu mwanzoni alitoa ahadi kwamba Mungu akijalia kabla mwaka haujaisha ataingia kwenye ndoa na kweli katimiza ahadi.

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-58-am

Tunda Man na mkewe Sabrah

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-50-am

Madee alikuwepo pia

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-38-am

Madee na shemeji yake

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-24-am

Tunda Man, Kassim Mganga na Madee

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-17-am

Dogo Janja, Kassim Mganga, Sabrah, Tunda Man na Madee.

screen-shot-2016-10-15-at-9-22-01-am

screen-shot-2016-10-15-at-9-35-16-am

Sabrah, Tunda Man na Dogo Janja siku ya harusi

ULIIKOSA HII? Naj kaelezea siku nne alizokaa na mama yake Baraka The Prince, tazama hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement