Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: “Sijatoa Mimba, Diamond Platnumz namkubali tu” – Tunda

on

Video Queen maarufu wa Bongo aitwae Tunda amezungumza kuhusu yale maneno yaliyosambaa mitandaoni kwamba yeye ni Mjamzito huku akidaiwa kutoka kimapenzi na Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz.

Gumzo lake la kutoka na Diamond lilianzia pale alipoamua kuweka kwa siku kadhaa picha ya Diamond Platnumz kwenye sehemu ya Profile Picture ya Whatsapp yake, bonyeza play hapa chini kumtazama Tunda akiongea mwanzo mwisho

VIDEO: HAMISA MOBETTO KUKUTANA NA DIAMOND DUBAI “DIAMOND NI MZAZI MWENZANGU” MTAZAME ZAIDI AKIONGEA MWENYEWE HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement