Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Polisi DSM waeleza kwanini mpaka sasa hawajamkamata Tundu Lissu

on

November 4 2016 iliripotiwa kwenye Magazeti kwamba Mbunge na Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu anatakiwa kukamatwa kwa amri ya Mahakama baada ya kutotimiza masharti ya Mahakama kwa kuhudhuria kwenye kesi yake inayomkabili Kisutu Dar es salaam.

Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kwa kamishna wake Simon Sirro imesema sababu za kwanini Tundu Lissu hajakamatwa mpaka sasa ni kutokana na Polisi kutopokea hati yoyote kutoka Mahakamani Kisutu inayoagiza kukamatwa kwa Tundu Lissu lakini ikiwafikia tu watafanya hivyo.

.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement