Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: King Majuto kawajibu wanaosema ana ugomvi na Gigy Money

on

Huenda wewe ni mmoja kati ya watu ambao wamewahi kusikia stori kwamba Mwigizaji staa wa Vichekesho nchini Amri Athuman maarufu kama ‘King Majuto’ kuwa na ugomvi na mrembo Gigy Money basi leo kupitia Exclusive na Ayo TV King Majuto amefunguka kuhusiana na hilo. Full video tayari nimekuwekea hapa chini…

KING MAJUTO KAFUNGUKA: “Nimezushiwa kifo mara 5, lazima nife lakini…” 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement