Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO & AUDIO: 10 zilizobamba kwenye Youtube account ya Millard Ayo wiki hii

on

Leo Oct 15 2016 nimezikusanya Top 10  zilizobamba wiki hii katika YouTUBE account ya mtu wako wa nguvu Millard Ayo, nitaomba pia uniandikie kwenye maoni kwa mtazamo wako ipi ingefaa kuwa namba moja hadi kumi.

Kama pia ulimiss kuzitazama au kusikiliza audio za wiki hii unaweza kutazama na kusikiliza hapa chini ninavyokuzogezea

10. Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12 2016, Full 3-1

9. Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Simba october 12 2016, Full 0-2

8. Jionee Chumba alicholala mkali Chris Brown Mombasa na bei  yake 

7. Majibu ya Sallam kuhusu kuhusishwa kuzima MIC ya Alikiba Mombasa

6. Harmonize alivyotumbuiza Mtwara Fiesta 2016

5. Kijana aliyetobolewa macho amekutana na Diamond Platnumz

4. Perfomance ya Vanessa Mdee kwenye stage za Mombasa Rocks Music Festival

3. Chris Brown alivyotumbuiza kwenye stage za Mombasa Music Festival 

2. Perfomance ya Alikiba kwenye stage za Mombasa Rocks Music Festival

1.Mwanafunzi aliyepigwa na Mwalimu Mbeya Day asimulia

ULIMISS HII YA YCEE MSANII KUTOKA NIGERIA ON AIR WITH MILLARD AYO ALIVYOTAJA WASANII ANAOTAMANI KUFANYA NAO KAZI KUTOKA TANZANIA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement