Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Goli la Diego Costa lililoipeleka Chelsea kileleni EPL Nov 20 2016

on

Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 imeendelea tena leo November 20 2016 kwa mchezo mmoja kuchezwa, leo Chelsea iliyochini ya kocha wake Antonio Conte walisafiri hadi dimba la Riverside kucheza na wenyeji wao Middlesbrough katika mchezo wao wa 12 wa EPL.

3a95226c00000578-0-image-a-35_1479660611343

Chelsea wakiwa ugenini wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli likitiwa nyavuni na mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania mwenye asili ya Brazil Diego Costa dakika ya 41, kwa ushindi huo Chelsea wanashika usukani wa Ligi Kuu.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement