DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video 3 za Tanzania zilizopata airtime Trace TV na MTV Base

on

Mtu wangu ni fahari kuzitazama video za Tanzania  zinavyoendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV na tunafahamu kuwa Trace TV na Mtv Base ni moja kati ya vituo vikubwa vya TV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.

Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base.20160906_230808

20160906_230837

20160906_230923ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA FEMALE RAPPER WANGECHI KUHUSU MUZIKI WA KENYA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement