Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kuna hasara gani usipohakiki TIN TRA? kuna siku 13 pia zimeongezwa kwa DSM

on

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaongezea Wafanyabiashara na Wakazi wa Dar es salaam siku 13 za kuhakiki TIN Number kwa wale ambao hawajakamilisha ambapo sasa hivi mwisho itakua ni Feb 15, kuna hasara gani usipohakiki TIN? bonyeza play hapa chini kumsikiliza Richard Kayombo.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement