Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Urban hit 10 ya TRACE TV watanzania wawili tu

on

Ni kawaida yangu kukuletea video zote zinazopata airtime katika vituo  vikubwa vya TV barani Africa, taarifa hii ikufikie mtu wangu Trace TV leo August 29 2016 imezicheza  hizi video 10 kwenye Trace Urban Hit 10 usisahau kuwa  Trace TV ni station ambayo ina mamilioni ya Watazamaji kwenye nchi mbalimbali za Afrika.

Mtu wangu Mtanzania mmoja tu ndiyo aliyeko kwenye chat hizi za Urban Hit 10 nae ni Diamond Platnumz na ngoma yake aliowashirikisha wasanii kutoka Nigeria P square inaitwa ‘Kidogo’,pamoja na video ya Mayunga ft Akon – ‘please  don’t go away’ nakusogezea list ya chat nzima hapa chini.

20160829_181907

Ngoma ya Mayunga imeweza kuingia kwenye chat hizi ambapo week iliopita haikuwepo kwenye list hii, nafasi hii ilishikiliwa na Falz msanii kutoka Nigeria

20160829_182734

20160829_182650

20160829_183401

Beyonce – Sorry

20160829_183311

20160829_183913

20160829_184236

Ngoma ya Diamond Platnumz imepanda kwa nafasi nne juu ambapo wiki iliyopita ilikuwa nafasi ya 8

20160829_185517

20160829_185550

20160829_185630

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA VIDEO MPYA YA JUACALI – SAFI SANA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement