Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video 5 za Tanzania zilizopata airtime Trace TV na MTV Base

on

August 30 2016 nakusogezea list ya video za Tanzania  ambazo zinaendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV, Tunafahamu kuwa Trace TV na Mtv Base ni moja kati ya vituo vikubwa vya TV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.

Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base na nyingine kuingia kwenye countdown ya Trace Urban hit 10.

20160830_194443

20160830_194542

20160830_194613

20160729_174005

20160830_195038

20160830_194639

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA BELLE 9 KUHUSU COLLABO MPYA ZA DIAMOND PLATNUMZ TUTARAJIE HIZI? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement