Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video 5 za Bongo zilizopata airtime TRACE TV & MTV BASE

on

Mtu wangu ni fahari  sasahivi video za nyumbani kupata airtime kwa kasi na kwa wingi zaidi kwenye TV za kimataifa kama TRACE URBAN na MTV BASE zikiwa ni TV stations ambazo zina mamilioni ya Watazamaji kwenye nchi mbalimbali za Afrika. 

Nakusogezea ngoma tano za bongo zilizopata airtime kwenye vituo hivi September 1 2016 hapa chini mtu wangu.

20160831_203736

20160901_233715

Aje- Alikiba

20160901_234352

20160901_233649

20160831_204115

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA RAYVANNY ALIVYOIMBA LIVE KAMWAMBIE YA DIAMOND PLATNUMZ? UNAWEZA UKAITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement