Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Top 5 ya Urban hit 10 mtanzania mmoja tu

on

Ni kazi yangu Kila siku kukunganisha na  TRACE URBAN ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia kwenye mataifa mengi Afrika ikiwa ni TV ya burudani yenye mashabiki na inayoaminika kwa kupiga video na nyimbo zenye ubora.  

Leo September 1 2016, Urban Hit 10 katika top 5 za juu inae Mtanzania Diamond Platnumz na ngoma yake ‘Kidogo‘ aliwashirikisha Psquire kutoka Nigeria ambayo imezidi kusogea nafasi za juu kwenye chat hizi kutoka nafasi ya 8 wiki iliopita.

20160831_204133

20160831_204115

20160831_204044

20160831_204018

20160831_203952

ULIIKOSA HII VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE ANAYEMKUBALI MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI? BASI ITAZAME HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement