Tangaza Hapa Ad

Mix

Kutana na picha za Treni 10 zenye kasi zaidi duniani na nchi zilipo

on

Hivi karibuni Tanzania ilisaini mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli ya kisasa ya Treni zz umeme zitazoanza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Tanzania ambapo Dar Moro inatarajiwa kuwa saa moja na nusu, Dar Dodoma dakika 150 wakati Dar Mwanza ni saa 7 na nusu.

Sasa wakati tukiisubiria hiyo good news ya Tanzania si vibaya tukitazama leo treni zenye kasi zaidi duniani zinapatikana kwenye mataifa gani.

10. THSR 700T -Taiwan-

9. ETR 500 Frecciarossa-Italy 

8. TGV Double Decker – Ufaransa

7. Alstom Euroduplex- Ufaransa

6.Shinkansen Hayabusa -Japan

5. Talgo 350 -Spain

4. Siemens Velaro E/AVS 103- Spain

3. AGV Italo-Italy

2. Harmony 380 A -China

1. Shanghai Maglev

VIDEO: ILIPOTOKEA AJALI YA TRENI TANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement