Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Alichokifanya Trump baada ya kutambua uwepo wa Hillary Clinton kwenye hafla


Tuliona wakirushiana maneno sana kwenye kampeni zao kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais kwenye taifa la Marekani wakiwa ni Wapinzani wawili, tuliona jinsi ushindi wa Trump ulivyostaajabisha mamilioni ambao hawakutarajia kilichotokea.

Sasa pamoja na yote hayo, pamoja na Hillary kushindwa… yeye na mume wake Bill Clinton walihudhuria kuapishwa kwa Donald Trump na baadae kwenye hafla ambapo baada ya Rais Trump kutambua uwepo wao, akaomba watu wote waliomo ndani wasimame, hii video hapa chini ina kila kitu.

EXCLUSIVE: Mtanzania aliyeajiriwa kwenye ofisi ya Tajiri wa Dunia Bill Gates aelezea jinsi alivyopata hiyo nafasi, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement