Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Trey songz alivyohojiwa na kituo cha TV cha Citizen Kenya

on

Nafahamu kuna watu wangu ni mashabiki wa mastaa wa mziki wa nje, nikiongelea mastaa kama Beyonce, Jay Z, Justin Beiber, Rihanna na wengine wengi ambapo staa Trey Songz kwasasa yupo nchini Kenya kwa ajili ya kufanya collabo na wasanii wa tofauti kutoka Afrika na miongoni mwao kuwa mtanzania Vanessa Mdee kwenye msimu wa 4 wa Coke Studio.

Ukiachia mbali Coke studio kituo cha TV cha Citizen nchini hapo kiliweza kumsogeza kwenye meza yao na kufanya nae interview, well kama uliikosa kuangalia interview nakusogezea video hapa chini mtu wangu kujua vitu alivyongelea staa huyo kutoka Marekani, Tremaine Aldon Neverson, mkimfahamu kama Trey Songz

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA VANESSA MDEE ALIVYOPERFOM KWENYE KITUO CHA TV CHA CITIZEN CHA KENYA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement