PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

AyoTV

VIDEO: Maneno ya Alikiba kwa mkewe Amina kwenye harusi ya Zabibu Kiba

on

NI headlines Kutoka kwenye familia ya staa wa Bongo Fleva, Alikiba ambapo Agosti 1, 2018 mdogo wake aitwae, Zabibu Kiba amefunga ndoa na mchezaji wa Baroka FC, Abdi Banda.

Sasa hapa nimekusogezea alichokizungumza Alikiba kwa mke wake.

UNAWEZA UKATAZAMA KINACHOENDELEA KWENYE HARUSI YA STAA WA ALIKIBA, ZABIBU KIBA

Soma na hizi

Tupia Comments