Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Dakika 7 za Naibu spika Dr. Tulia kuhusu historia ya Samuel Sitta


Naibu spika wa bunge la Tanzania Dr. Tulia Ackson alisimama bungeni November 11 2016 kwa kazi moja ya kuliwakilisha bunge lake kusoma historia fupi ya spika mstaafu Samuel Sitta aliyepelekwa bungeni humo kwa ajili ya kutoa nafasi kwa wabunge kutoa salamu zao za mwisho kwa marehemu Sitta.

Hapa ninazo dakika zake saba alizotumia kumuelezea Samuel Sitta..

ULIIKOSA HII NAIBU SPIKA DR. TULIA  ALIVYOZIPELEKA NGOMA ZA JADI MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement