Tangaza Hapa Ad

Mix

Umeliona tangazo la TV alilofanya Michelle Obama? liko hapa kama hujaliona. @letsmove

on

Screen Shot 2014-01-22 at 2.23.50 AMWiki iliyopita Miami Heat walitembelea Ikulu ya Marekani kusherehekea uchampion wao wa mwaka 2013 ambapo wakiwa hapohapo Ikulu waliungana na first lady kusupport kampeni ya let’s move kwenye tangazo la TV ili kusisitizia umuhimu wa kula vizuri, kula kwa afya na kunywa maji ili kuwa imara kama champion.

Tangazo hili la TV lililowekwa Youtube January 21 2014 linaihusu kampeni hii ya kuimarisha afya.

Screen Shot 2014-01-22 at 2.38.42 AM Screen Shot 2014-01-22 at 2.39.01 AMVideo ya tangazo lenyewe ndio hii hapa chini.

Tupia Comments

Advertisement