PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Ukweli kuhusu ishu ya Singida United kuachana na Kocha Morocco

on

Baada ya club ya Singida United mapema mwezi January 12 kutangaza makocha wapya raia wa kigeni kujiunga na timu yao, maswali yalikuwa mengi katika vijiwe vya soka vipi wanawezaje kuwaleta wageni huku wanadaiwa kushindwa kumlipa kocha Hemed Morocco hadi kaamua kuiacha timu hiyo?

Amplifaya ya Clouds FM imempata katika exclusive intervew Mkugenzi Mtendaji wa Singida United Festo Sanga ambaye ameeleza ukweli kuhusiana na maamuzi hayo na kweli wameshindwa kumlipa kocha Morocco? Singia kwa mujibu wa Festo Sanga hawakushindwa kumlipa sema alikuwa na majukumu mengine yanayomuweka busy.

“Tunashindana na timu zenye nguvu, aliyetoa assist Alexandria kanunuliwa Bilioni 10”-MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments