Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Ni kweli Belle 9 kafunga ndoa ya siri?

on

Mwaka 2017 tumeshuhudia baadhi ya mastaa wa Tanzania wakiingia kwenye headlines za ndoa na wengine wakiwa wameamua kuwafanyia engagement wapenzi wao, tumeshuhudia mkali wa comedy Lucas Muhiville maarufu kama Joti akifunga ndoa lakini tumeshuhudia picha zikisambaa mtandao kuwa Stamina amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake ni kitu kizuri.


Ila leo Jumapili ya December 17 2017 mfalme wa R&B kutokea pande za mji kasoro bahari nazungumzi Morogoro Belle 9 amezichukua headlines na yeye baada kusambaa kwa picha zikimuonesha kama amefunga ndoa.

Belle9 mwenye bado hajasema chochote kuhusiana na picha hizo kama ameamua kufunga ndoa au kuna project anafanya ila kwa picha tu zinazosambaa mtandaoni zinaonesha kama kafunga ndoa vileee Any Way AyoTV itamtafuta Belle 9 ili kufahamu ukweli wa picha hizo.

Alichokiandika Dogo Janja baada ya picha ya mkewe Irene na Tbway kuvuja

Soma na hizi

Tupia Comments