PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Michezo

Mbeya kuna fursa nyingi hii nyingine umesogezewa

on

Kampuni ya Moja Bet inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha imeutambulisha  mchezo mpya wa kubahatisha  Jijini Mbeya,  unaofahamika kwa jina la ‘BOOM PESA’, na kuwataka wakazi wa Mkoa huo kujitokeza na  kununua tiketi   ili waweze kujishindia fedha papo hapo.

Umoja Beti ambayo makao makuu yake yapo Jijini Dar es salaama , hii leo imeutambulisha mchezo huo  ambao ni Mpya,  Msimamizi wa kituo cha  huduma kwa Wateja Florida Mwangosi anawaomba watanzania kujitokeza na kucheza mchezo huo.

“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments