Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Zari ashangazwa na wanaohukumu umri na mapenzi

on

Zari leo June 9,2018 ameamua kuwatolea povu wanaowasema wanawake wenye umri mkubwa kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye umri mdogo na kushangazwa na kitendo cha kuwakalia kimya wanaume wenye miaka zaidi ya 40 kuwa kwenye uhusiano wa kimpenzi na wasichana wenye umri wa miaka 19.

Zari ameandika “nimekaa hapa na kuwaza jamii ilivyokuwa haraka kuhukumu mwanamke mtu mzima kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kijana mdogo lakini sio kwa mwanaume mwenye miaka zaidi ya arobaini kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mschana wa miaka 19, watu na vibabu vyenu.”

Watumishi waliohujumu Mil.273 Ubungo wasimamishwa kazi, Meya atoa maagizo hayo

Soma na hizi

Tupia Comments