Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

NOMAH!! Shabiki azimia baada ya kumkumbatia Wizkid

on

Staa mwenye ushawishi mkubwa katika game ya muziki kutokea Nigeria Wizkid maarufu kama ‘Starboy’ alitumbuiza Weekend ya June 9,2018 Ghana kwenye Tamasha la “Ghana Meets Naija 2018” katika viwanja vya Fantasy Dome.

Show hio ilikuwa kubwa kutokana na wingi wa mashabiki kuhudhuria tamasha hilo katika utumbuizaji wa Wizkid ulimfanya mmoja wa mashabiki kupanda juu ya stage na kumkumbatia Wizkid  kitu kilichowalazimu walinzi kumtoa kitendo hicho kilimfanya shabiki huo kuzimia baada ya kukumbatiwa na Wizkid.

Tukio hili liliwashangaza watu wengi ikiwemo Wizkid mwenyewe na huenda tukio hili likawa miongoni mwa matukio ya kushangaza ambayo Wizkid hatoweza kuyasahau katika maisha yake.

Bonyeza PLAY kumuona shabiki huyo alivyomng’ang’ania Wizkid.

Nini amfungukia Nay wa Mitego

Soma na hizi

Tupia Comments