Habari za Mastaa

Khalighraph Jones aonyesha kionjo cha Album yake “Testimony 1990”

on

Rapper mkali kutokea +254 Kenya, Kaligraph Jones ameamua kuwaonyesha mashabiki zake ujio wa Album yake ya “Testimony 1990” ambayo imebeba ngoma 17 na inatarajiwa kuachiwa leo June 12,2018.

Album hiyo itawahusisha mastaa mbalimbali akiwemo mwanadada mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva Ray C akiwa miongoni mwa wasanii wachache kutokea Tanzania kupata nafasi ya kusimama kwenye album hiyo bila kumsahau Ycee, Mr Eazi kutokea Nigeria.

Rapper huyo alishwahi kushine na Albums nyingi kabla ya hii mpya ikiwemo Point of No Return, Eff Off, Best of Khalighraph Jones ,Autograph, Toa Tint.

Kila mtu anajua kilichowapata wenzetu, walipothubutu wakapigwa tatu” Dr Kigwangalaa

Soma na hizi

Tupia Comments