Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Vitu vitatu vilivyofanya Nay wa Mitego awaite waandishi wa habari

on

Msanii wa Bongofleva Emmanuel Elibariki ambao wengi tunamfahamu kama Nay wa Mitego leo Ijumaa ya October 13 2017 aliwaita waandishi wa habari na kuzungumzia kile ambacho alikuwa amewasubirisha kwa huma watu kuhusu October 14 2017.

Nay wa Mitego amezungumza vitu mbalimbali kuhusiana na muziki wake lakini moja kati ya vitu alivyozungumza ni uzinduzi wa tamasha lake la ‘ ambalo linalenga kutembea mikoa ya Mtwara, Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam na Arusha kuwashukuru mashabiki wake.

VIDEO: MISS SINZA kaongea ishu ya kuwa mapenzini na DIAMOND inayosambaa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement