Tangaza Hapa Ad

Mix

U HEARD: Majibu ya Amber Lulu baada ya kudaiwa alikamatwa na madawa ya kulevya

on

Ndani ya XXL ya Clouds FM leo mtangazaji Soudy Brown amepiga story Amber Lulu mwanadada maarufu kwenye mtandao wa Instagram ambaye inaelezwa kuwa aliwa kutoka kimapenzi na Rapa Young Dee. Sasa wiki iliyopita kupitia U Heard ilitoka stori kwamba Amber Lulu amekamatwa na madawa ya kulevya akiwa uwanja wa ndege.

Soudy Brown amempata Amber Lulu kwenye line na ameeleza kuwa sio kweli kuwa alikamatwa na madawa ya kulevya kama inavyodaiwa na hajawahi kujihusisha na ishu za aina hiyo isipokua wakati anadate na Young Dee ndio stori za kutumia madawa ya kulevya zilianza kuzagaa mtaani.

>>>Watu wanasema mimi nilikamatwa sijui sipatikani kitu ambacho sio kweli, mi nilikwa Arusha na sikuaga mtu kwasababu ni maisha yangu na hua sina utaratibu huo, na huyo Gigy Money aache maisha yangu afanya mambo yake mi nimetoka Arusha kuja Dar kutafuta maisha yeye kwetu Kurasini hapo, Mi Passport yangu ilisumbua na sio kukamatwa na madawa ya kulevya:- Amber Lulu

Kuipata stori full bonyeza Play hapa chini.

ULIMISS KUONA CHUMBA ALICHOLALA CHRIS BROWN WAKATI ALIPOKUWA NCHINI KENYA KWEYE TAMASHA? TAZAMA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement