Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Utani wa Mussa Hussein, Jose Mara na Geah Habibu mbele ya RC Makonda

on

Baada ya ziara ya Dar Mpya ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kumalizika, RC Makonda alikutana na watendaji wa serikali na wadau mbalimbali ambao walishiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ziara ile, lengo ikiwa ni kuwashukuru.

Katika shughuli hiyo RC Makonda aliwaita mbele baadhi ya watangazaji wa clouds FM kwa ajili ya kuwashukuru kwa mchango mkubwa walioutoa kufanikisha ziara ile.

Ilipofika wakati wa Mtangazaji Mussa Hussein kutoa neno la lolote hapo ndio utani ulipoanza, Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

VIDEO: ‘Nitatafuta milioni 50 nani mkali kati ya Christian Bella na Banana Zoro’-RC Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: RC Makonda alivyoamuru Wenyeviti watano kuchukuliwa na polisi katikati ya mkutano, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement