DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

MADEE KUACHA MUZIKI? Kaitaja biashara anayoifikiria

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Tip Top Connection Manzese, Madee amekaa kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV na millardayo.com na kufunguka akiweka wazi biashara ambayo anaifikiria na anaweza kuifanya tofauti na muziki.

Madee amsema moja ya biashara ambayo amekuwa akiifikiria kichwani mwake ni biashara ya magari akisema kwamba ni mzoefu wa kununua magari kwa njia ya mtandao hivyo itakuwa rahisi kwake kuifanya pindi akiamua kufanya hivyo.

>>>”Kichwani mwangu biashara ambayo ninaiona ni ya magari na katika utundu wangu wa kununua magari sijawahi kununua magari Bongo nanunua moja kwa moja online. Hadi sasa hivi nina magari kama sita hivi kwa ajili ya kuwakodisha washikaji tu ambao najua hawawezi kuzingua chochote. Ninaamini hii ni biashara ambayo nitakuja kuifanya na kuwa na Yard kubwa kabisa ya magari. Ni ndoto ninayoona inaenda kutimia.” – Madee.

Bonyeza Play hapa chini kutazama..

Tazama kwa kuplay kwenye video hii kusikia Peter Msechu akiomba msamaha baada ya kukalishwa vikao!!!!

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement