Habari za Mastaa

Haya ndio matokeo ya kurudiana kati ya Offset na Cardi B

on

Rapper Cardi B ameamua kumuonyesha mtoto wake Kulture kwa mara ya pili kupitia ukurasa wake wa instagram ikiwa ni pamoja na kuipa promo Album mpya ya mume wake Offset inayoitwa kwa jina la ‘Father of 4’

Album hiyo ya Offset inatajwa kuachiwa rasmi leo February 22,2019 ambapo cover ya Album inaonyesha picha ya watoto wake wanne na  ndani ya  Album hiyo ‘Father of 4‘ inatajwa kubeba jumla ya ngoma 16 ambazo amewashirikisha wasanii kibao akiwemo Cardi B, J Cole, Travis Scott, Gucci Mane na wengine wengi.

Inaelezwa kuwa Album hiyo imechelewa kuachiwa kutokana na Offset kujaribu kurudisha penzi lake kati yake na Cardi B baada ya wawili hao kuachana kwa muda mfupi na baadae kurudiana tena.

Father of 4 Tracklist:
01. Father of 4 (feat. Big Rube0
02. How Did I Get Here (feat. J. Cole)
03. Lick
04. Tats On My Face
05. Made Men
06. Wild Wild West (feat. Gunna)
07. North Star (feat. Cee-Lo Green)
08. After Dark
09. Don’t Lose Me
10. Underrated
11. Legacy (feat. Travis Scott and 21 Savage)
12. Clout (feat. Cardi B)
13. On Fleek (feat. Quavo)
14. Quarter Milli (feat. Gucci Mane)
15. Red Room
16. Came A Long Way

MAPYA KESI YA WEMA: VIDEO YAKE YA NGONO YACHAMBULIWA MAHAKAMANI

Soma na hizi

Tupia Comments