Mix

Kila wiki Tsh Milioni 2 na Moja zinatolewa na CRDB bure !!!

on

Bank ya CRDB inaendelea kuwajali wateja wake kwa kuendelea na utaratibu wao wa kugawa pesa za bure kila wiki kwa wateja wao waliofanikiwa kujisajili na huduma ya Sim Account kupitia simu zao za mkononi, unachotakiwa kufanya ili uwe sehemu ya washindi 10 wa wiki katika kuwania Tsh Milioni mbili, milioni moja na laki laki kwa watu nane, unatakiwa kupiga *150*62#

BONYEZA PLAY KUJUA NAMNA YA KUJISAJILI NA WASHINDI WA WIKI HII

Hakuna anayemkuta Samatta kwa sasa Jupiter Pro League 2018/19

Soma na hizi

Tupia Comments