Habari za Mastaa

Paka wa Marehemu Karl Lagerfeld arithi utajiri wa Tsh Bilioni 456

on

Fahamu kuwa paka aliyekuwa akimilikiwa na  mkongwe wa Fashion Duniani Marehemu Karl Lagerfeld ndie atakayerithi utajiri wote wa mkongwe huyo.

Paka huyo anayefahamika kwa jina la Choupette atamiliki utajiri wa mkongwe huyo ambao unatajwa kufikia zaidi ya shilingi Bilioni 456 za Kitanzania na inaripotiwa kuwa paka huyo alikuwa akilelewa kifahari na mmiliki wake tokea mwaka 2011.

Karl Lagerfeld alifariki Jumanne ya  February 19,2019 Jijini Paris akiwa na umri wa miaka 85 akiwa miongoni mwa watu ambao walikuwa nyuma ya pazia ya mafanikio ya brands kama Tommy Hilfiger, Chanel na Fendi mwaka 1980.

VIDEO: Account ya Marehemu Godzilla instagram yageuzwa page ya umbea

Soma na hizi

Tupia Comments