Michezo

Ni kweli Kakolanya mkataba wake na Yanga umevunjika? TFF imetoa tamko

on

Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na golikipa wa Yanga Beno Kakolanya kususia kucheza akishinikizwa kulipwa pesa zake za usajili ambazo anaidai Yanga kwa miezi kadhaa sasa.

Baada ya kuenea kwa taarifa hizo kulizuka tetesi nyingine zikieleza kuwa kamati ya maadili na hadi za wachezaji, imekaa chini na kutafakari kuwa Beno Kakolanya mkataba wake na Yanga umevunjika na anatakiwa kulipwa mshahara wa miaka miwili,Shirikisho la soka Tanzania TFF limekanusha taaifa hizo.

EXCLUSIVE: Kauli ya Singida United kushindwa kulipa wachezaji, mbona wanasajili?

Soma na hizi

Tupia Comments