Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Majibu ya Matonya baada ya kudaiwa kutolipa deni la gari aliyokodisha

on

Ni October 25 2016 kwenye U HEARD ya Clouds FM, inamuhusu hitmaker wa  single iitwayo Sugu Benchi,  Matonya ambaye analalamikiwa kukodisha gari ambayo ameitumia kwenye video yake mpya ya sugu benchi, Soudy Brown amemuuliza matonya kuhusu tuhuma hizo, Matonya amesema……..

>>>’Zile sio za kukodisha zile ziko za familia na ndio maana vitu vingi nimefanyia home Tanga, hakuna kitu ambacho nimekodisha vitu vyote viko nyumbani kwa hiyo ni kuongea na familia tu hakuna kitu kilichokodishwa’

Kusikiliza Full stori unaweza, bonyeza play hapa chini

 

ULIKOSA HII YA SHAA KUHUSU MIPANGO YA KUSAINI WASANII WAKE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement