Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Majibu ya Mose Iyobo kuhusu Aunt Ezekiel kudaiwa ni mjamzito

on

Kwenye U Heard ya Clouds FM leo November 10 2016 Soudy Brown amempata Kiongozi wa Dancers wa WCB Mose Iyobo ambaye pia ni Mume wa muigizaji Aunt Ezekiel, Soudy amemuuliza kuhusu picha yao iliyosambaa mtandaoni kuonesha tumbo la Aunt Ezekiel kama ni mjamzito tena.

Mose Iyobo amesema sio kweli kuwa Aunt Ezekiel ni mjamzito isipokuwa amekuwa anakula sana ndio mana tumbo lake limekuwa kubwa….

Mama Cookie anakula sana mpaka kaota tumbo fulani hivi, ila mimi na Mama Cookie ni wazazi kwahiyo vitu vyote vinavyokuja vinakuwa kwenye mipango lakini mbona kama bado hivi lile ni tumbo la shibe ila kama umeona tumbo ujue tumejipanga” – Mose Iyobo

Kuipata FULL STORY bonyeza Play hapa chini.

VIDEO: Majibu ya Aunt Ezekiel kuhusu ugomvi wa aliyewahi kuwa mpenzi wa Mose Iyobo.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement