Michezo

UCL: Ratiba ya hatua ya mtoano michuano ya ulaya imetoka, tambua timu yako imepangwa na nani hapa

on

article-2874351-24112C4200000578-235_964x390Baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi ya michuano ya kombe la mabingwa wa ulaya wiki iliyopita, leo hii shirikisho la soka barani ulaya UEFA imepanga ratiba ya hatua mtoano ya michuano hiyo.

Shughuli ya upangaji wa ratiba iliyofanyika huko jijini Nyon, Uswis imemalizika kwa vilabu 16 vilivyofuzu hatua ya mtoano kupangwa kama ifuatavyo:

CHAMPIONS LEAGUE LAST 16 DRAW IN FULL 

Paris Saint-Germain vs Chelsea

Manchester City vs Barcelona 

Bayer Leverkusen vs Atletico Madrid

Juventus vs Borussia Dortmund

Schalke 04 vs Real Madrid

Shakhtar Donetsk vs Bayern Munich

Arsenal vs Monaco

Basle vs Porto

Mechi za kwanza zitachezwa February 17/18 and 24/25. Mechi za marudiano zitachezwa  March 10/11 and 17/18 mwakani.

 

Tupia Comments