Michezo

Tazama magoli manne ya Arsenal waliyoifunga Galatasary hapa

on

Screen Shot 2014-12-10 at 10.29.45 AM

 

Baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya kwenye ligi kuu ya England – klabu ya Arsenal jana usiku ilifuzu kucheza hatua ya 16 bora ya michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya baada ya kuifunga timu ya Galatasary ya Uturuki kwa magoli 4-1.

Lukas Podolski alifunga mara mbili na Aaron Ramsey nae akafunga magoli mawili huku Wesley Sneijder akifunga goli la kufutia machozi kwa Galatasary.

Galatasaray vs Arsenal 1-4 by myflexmood1

Tupia Comments