Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Msanii anayeishi Sweden kuhusu Bongofleva “Diamond kupata mtoto wa nje, Vanessa kusign”

on

Leo January 5, 2018 nakusogezea Interview ya Nuru The Light ni msanii wa bongofleva anayeishi Sweden amezungumza na AyoTV  na kuelezea jinsi anavyofanya muziki wake wakati akiwa nje ya nchi na anavyofuatilia muziki wa Bongofleva akiwa Sweden, amesema nimfuatiliaji sana wa kazi za bongo ikiwemo kujua Vanessa kasaini Universal Music Group na ishu ya Diamond kupata mtoto wa nje.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza akielezea..

FULLVIDEO: Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio, Wazungumza haya

Soma na hizi

Tupia Comments