DSTV

Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VIKINDU: Bibi asimulia alivyobomolewa nyumba katika eneo aliloishi kwa miaka 14

on

Wananchi wa kijiji cha Picha ya Ndege Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wamekuwa na mgogoro wa ardhi wa zaidi ya ekari 70 ambazo zimeleta mapigano baina wananchi wa eneo hilo huku wengine wakibomolewa nyumba zao na wengine kuwekwa rumande.

Ayo TV na millardayo.com imempata bibi Mariam Yasini Hakimu ambaye amelalamikia kubomolewa kwa nyumba yake huyu akiambiwa atoke eneo hilo ambalo ameishi kwa takriban miaka 14 pamoja na kupewa usumbufu mwingine wa kutaka kuwekwa rumande.

Ulipitwa na hii? Nyumba za Lugumi zinazopigwa mnada, tumeonyeshwa mpaka ndani

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement