Tangaza Hapa Ad

Burudani

P Diddy ameongelea alichokifanya French Montana Uganda

on

Msanii kutokea Marekani French Montanna ametoa msaada wa kujenga hospitali nchini Uganda baada ya kutembelea nchi hiyo miezi kadhaa iliyopita kwenye ziara yake ya muziki na kubahatika kufanya video ya wimbo wake “Unforgettable” na kundi la Ghetto Kids kutokea nchini Uganda.

Katika mahojiano ya kipindi cha Hellen Show kinachofanywa na mwanadada Helen kutokea  nchini Marekani msanii P Diddy alisema kuwa French Montanna ni miongoni mwa watu wasiopenda kuongelea vitu wanavyovifanya lakini amefurahishwa kwa kile ambacho msanii mwenzake amekifanya kwa kutoa msaada Uganda.


Muigizaji mwingine mkubwa Holly Wood atakayecheza Movie moja na Idriss Sultan

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement