Tangaza Hapa Ad

Mix

U HEARD: Diamond kapata mtoto, Soudy kamuuliza Dimpoz anazungumziaje hilo

on

Leo December 6 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brown ametukutanisha na stori ya msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amejifungua mtoto wake wa pili.

Soudy Brown amepiga story na Meneja wa Diamond Sallam kuhusu Diamond kupata mtoto, pia amezungumza na Ommy Dimpoz na kumuliza anazungumziaje kuhusu Diamond kupata mtoto…..

>>>’Hayo mambo tushamaliza, mimi nizungumze nini, hayo mambo siwezi kuzungumza kitu chochote kama wamepata mtoto ni baraka zake Mungu na ni jambo la Kheri’

 Kusikiliza full Story, Bonyeza Play hapa chini

VIDEO:‘Mimi nilikuwa mwanafunzi ninayepigwa mno darasani’-Idris Sultan, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement