Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

U HEARD: Mzee Majuto azungumzia taarifa za kifo chake zilizosambazwa


Kupitia XXL ya Clouds FM leo Januuary 24 2017 Soudy Brown ameileta inayomhusu mchekeshaji King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo sio sahihi kuwa amepata ajali na amefariki. 

‘Na mwaka huu mnataka kunia tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana’ – Mzee Majuto

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori

ULIKOSA? Ukweli kuhusu Miss wa Ilala aliyepigwa Panga kichwani, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement