Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Chanzo cha bifu ya Producer Emma the Boy na Linex

on

Story ya kwenye U Heard ya leo Sept 21, 2016 inahusu beef jipya kati ya producer Emma The Boy na staa Linex wa hit single iitwayo ‘Kwa Hela’.

Soudy Brown aliwapigia  simu wawili hao na kuzungumza nao kuhusu beef lao kati ya Emma The Boy na Linex, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hii sauti hapa chini…

ULIKOSA HII YA BELLE 9 ALIVYOTOA BURUDANI KWENYE FIESTA DODOMA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement