Habari za Mastaa

U HEARD: Dancer wa Diamond Platnumz adaiwa kumtelekeza mtoto

on

Ni kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote za Entertaiment zinazotokea na leo January 10 2016 nakukutanisha na hii kutoka kwenye U Heard ya Soudy Brown kuhusu dancer wa Diamond Platnumz anayefahamika kwa jina la Zungu kumtelekeza mtoto wake, Soudy Brown kapiga stori na mama wa mtoto huyo…..

>>>’Mimi nimezaa na Dancer wa Diamond anaitwa Zungu nilikuwa naishi nae na tukapata nae mtoto anaitwa Feisal lakini kukatokea mizozo kati yangu na yake kulikuwa na msichana mmoja alikuwa anatoka naye anaitwa Rukia Ruki alishawahi kutoka na Rayvany‘;-Swaumu

ULIMISS ALICHIKIZUNGUMZA HARMONIZE KUHUSU KUACHANA NA WOLPER ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

 

Soma na hizi

Tupia Comments