Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Ukaribu wa Nuh na Shilole umemfanya mke wa Nuh azungumze haya

on

U Heard ya Soudy Brown leo January 27 2017  kupitia XXL Clouds FM iko na story kuhusu mke wa Nuh Mziwanda, Nawali aliyezungumza baada ya kudaiwa kuwa mume wake (Nuh Mziwanda) anafanya kazi kwa ukaribu sana na Shilole huku ikidaiwa kuwa Nawali amekuta baadhi ya ushahidi wa meseji zinazoashiria wako mapenzini.

Soudy Brown amezungumza na mke wa Nuh Mziwanda aliyezungumza yafuatayo……>>> ‘Nilishawahi kuona chat zake na yeye whatsup nikamuuliza akaniambia ni mambo ya show na mimi nikaona kwa nini tugombane’

‘Mimi Nawali nitabaki kuwa Nawali yule atabaki kuwa yule, halafu yule kamuona hamfai ndio maana hakumuoa ila kaona namfaa akaamua kunioa, yule ni mfamaji kwa hiyo aishi kutapatapa, yule ana watoto na familia yake ilibidi atulie na watoto wake, watoto wake wanahitaji baba pale sio kila siku watoto wanaona anabadilisha Wanaume’

VIDEO: Fahamu zifuatazo >>>> Kijana aliyemshtua Mama kanumba, Dully kuhusu ushirikiano na Alikiba, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement